Lions Club, Halmashauri ya Morogoro yawatelekeza wanafunzi iliyowaahidi kuwasomesha

–  Mkuu wa Chuo akataa kuwapokea mpaka walipe ada – Lions Club Morogoro yasema ...

Watu 48,700 wafa katika ajali, wengine 282,000 wajeruhiwa

JUMLA ya watu 48,695 wamekufa na wengine 282,194 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani ...

Bodaboda zasababisha vifo 6,700, majeruhi 36,700 katika miaka 10

DAUDI Maliyatabu (35) amelala kitandani katika wodi Namba 4 Kibasila katika Hospitali ya Taifa ...

Miundombinu: Unataka kwenda Nyasa, unaweza kuogelea tope?

UNAWEZA ukawa mwendo wa saa 3 na dakika 39 tu kwa gari ndogo kutoka ...

Milima ya Livingstone yaihamisha reli kutoka Mbamba Bay hadi Ameilia Bay

UWEPO wa milima mingi ya Livingstone katika wilaya za Mbinga na Nyasa mkoani Ruvuma, ...

Tanga: Wapewa risiti bandia wakinunua dawa jirani na Hospitali ya Bombo

BAADHI ya maduka ya dawa za binadamu jijini Tanga wanakaidi agizo la serikali la ...

TUCTA watumbukia katika kashfa ya kutakatisha mabilioni ya fedha mali ya TRA

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeingia katika kashfa kubwa ya kutumika kutakatisha ...

Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa

MJANE kutoka Tanga, Swabaha Mohamed Shosi aliyewashtaki baadhi ya watendaji wa Serikali kwa Rais ...

Bilionea wa Lake Oil mbaroni kwa kumtesa mfanyakazi wake

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni mmiliki na Mkurugenzi wa ...