Connect with us

Habari Mpya

ELIMU20 hours ago

Njia 4 ambazo waliofanikiwa huzitumia kutojali kile wanachofikiria watu wengine

Kwa namna moja au nyingine, wote kwa namna fulani tumewahi kujutia kujali sana kile ambacho watu wengine wanakifikiria au watakifikiria....

Jamii23 hours ago

Mahakama kutoa uamuzi Mei 28 kama Maxence na wenzake wana kesi ya kujibu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kuwa Mei 28, 2018 itatoa uamuzi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence...

Biashara/Uchumi2 days ago

Wasafirishaji wa kahawa, chai waneemeka na ushuru wa forodha

Wasafirishaji wa kahawa, chai, samaki na ngozi kutokana Tanzania  kufaidika na soko la Afrika Mashariki baada jumuiya hiyo kuanzisha  mfumo...

Biashara/Uchumi2 days ago

Wasafiri kutoka China kuipata thamani sekta ya utalii Tanzania

“Nafikiri kichocheo kikubwa cha uchumi wa Tanzania kitakuwa utalii,” hayo yalikuwa maneno ya Gavana Mstaafu, Prof Benno Ndulu wakati wa...

Afya3 days ago

Wilaya 6  vinara ugonjwa wa ukoma nchini. Mila potofu zachochea tatizo kwenye jamii

Imeelezwa kuwa watanzania wanashauriwa kuendelea kujihadhari na ugonjwa wa ukoma, licha ya kupungua kwa maambukizi yake katika maeneo mbalimbali nchini....

Afya3 days ago

MPANDA:  Shule inayoongoza kwa ufaulu Kyela licha ya changamoto lukuki

Wanafunzi wa shule ya msingi Mpanda iliyopo kata ya Ipyana wilayani Kyela wanalazimika kusoma kwa kupokezana kutoka na madarasa ya...

Biashara/Uchumi5 days ago

Mgongano wa kisheria unavyokwamisha uwekezaji Afrika Mashariki

Baada ya Tanzania na Kenya kufanya mabadiliko ya kisheria katika sekta ya madini, ripoti mpya ya utafiti imeeleza kuwa hatua...

Jamii5 days ago

UTAFITI: Watu wanaochelewa kulala wako katika hatari ya kufa mapema

Utafiti uliotolewa hivi karibuni umebaini kuwa watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaoamka mapema wakati...

ELIMU6 days ago

Wazazi wahoji elimu bila malipo isiyo na viwango vya ubora

Utafiti mpya uliotolewa na taasisi ya Twaweza unaonyesha kuwa mtazamo wa wananchi kuhusu utoaji elimu bila malipo umebadilika, wengi wao...

Biashara/Uchumi7 days ago

Tanzania, Kenya zavutana ushuru wa pipi

Serikali ya Kenya imesema itazuia bidhaa za Tanzania kuingia nchini mwake baada ya Mamlaka ya forodha kuendelea kutoza ushuru kwa...

Kutoka Twitter

Copyright © 2018 FikraPevu.com