Connect with us
//
// //

Habari Mpya

Afya6 months ago

Watumishi wa afya 200 kupatiwa mafunzo ya utoaji dawa ya usingizi kuokoa maisha wajawazito

Kufuatia upungufu wa wataalamu wa dawa za usingizi (anaesthesia), serikali itatoa mafunzo ya dawa za usingizi kwa watumishi wa afya...

Siasa6 months ago

Sakata la waraka wa Maaskofu KKKT lang’oka na Msajili Mambo ya Ndani

Waziri wa Mambo ya Ndani Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa...

Jamii6 months ago

Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutangazi nyongeza ya mshahara hadharani kuepusha athari kwa jamii

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameweka wazi kuwa serikali haitatangaza nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma hadharani ili kuepusha athari...

Biashara/Uchumi6 months ago

Ukosefu wa taarifa sahihi za viwango na aina ya samaki wakwamisha ujenzi wa viwanda nchini

Tanzania itaanza kufaidika na rasilimali za bahari baada ya kuanza kutekeleza Programu ya Udhibiti na Matumizi Endelevu wa Rasilimali Samaki...

Jamii6 months ago

Maaskofu KKKT wapewa siku 10 kufuta waraka

Serikali imetoa siku 10 kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kuufuta kwa maandishi waraka wao waliotuoa Machi 24...

Jamii6 months ago

Hujavuka miaka 30? Unashauriwa kusafiri sana na kuhifadhi fedha kadiri uwezavyo!

Kufikisha miaka 30 maishani yaweza kuwa kipindi cha mabadiliko makubwa kwenye maisha ya mtu na taaluma yake. Ni kipindi ambacho...

Jamii6 months ago

Siri iliyofichika mauaji ya wanandoa nchini

Hivi karibuni tumeshuhudia matukio kadhaa ya vifo kwa wanandoa, aidha mume kumuua mke wake au mke kumuua mume wake. Ni...

ELIMU6 months ago

Hamasa ya wazazi kufuatilia maendeleo ya watoto shuleni yaongezeka

Elimu bora ina faida kubwa kwa maisha ya kila siku ya wananchi na pia huchangia ukuaji wa uchumi. Kwa kutambua...

Biashara/Uchumi6 months ago

Ushuru wa bidhaa: Kero ya Muungano iliyokosa ufumbuzi wa kudumu

Serikali ya Tanzania Bara na ile ya Zanzibar kukutana kujadili kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero...

Biashara/Uchumi6 months ago

Mradi wa Stiegler’s Gorge kutua mikononi mwa Kamati ya Urithi wa Dunia

Kamati ya Urithi wa Dunia ya Umoja wa Mataifa inatarajia kuamua kama Pori la akiba la Selous liondolewe miongoni mwa...

// //

Copyright © 2018 FikraPevu.com