Connect with us

Habari Mpya

Jamii3 hours ago

Kwanini wanawake hupata msongo wa mawazo kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume?

Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa...

DATA1 day ago

Maambukizi  ya Ukimwi yanavyoshamirisha yatima shule za msingi Iringa, Mbeya

Mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe imetajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya wanafunzi yatima wanaondikishwa katika shule za mingi, jambo...

Sayansi na Teknolojia1 day ago

Maxence awataka vijana kuchangamkia fursa za mtandao ya kijamii

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema licha ya kuwepo kwa sheria zinazoonekana kuminya uhuru wa mitandao ya kijamii, bado...

Afya2 days ago

Kadi alama ya lishe  kutokomeza utapiamlo, udumavu kwa watoto chini ya miaka 5

Serikali imeanza kutumia kadi alama ya lishe ili kuongeza uwajibikaji kwa watoa huduma itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo na udumavu...

Sayansi na Teknolojia4 days ago

Mitandao ya Kijamii inavyowanyima usingizi viongozi Afrika Mashariki

Licha matumizi ya intaneti kuongezeka katika ukanda wa Afrika Mashariki, watumiaji wa mitandao ya kijamii hawatafaidika na huduma hiyo kutokana...

Biashara/Uchumi4 days ago

Wakulima wa mahindi kuunganishwa kwenye mnyororo wa thamani

Imeelezwa kuwa kukosekana kwa  teknolojia ya kisasa na masoko ya mazao  ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha  ukuaji wa sekta  ya...

Biashara/Uchumi5 days ago

RIPOTI YA CAG: Rais Magufuli asisitiza trilioni 1.5 hazijapotea, aitupia lawama mitandao ya kijamii

Rais John Magufuli amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) aliyokabidhiwa haionyeshi upotevu wa trilioni 1.5 na...

Jamii5 days ago

Kwanini kukaa muda mrefu kunasababisha kuganda kwa damu kuliko ukiwa umelala?

Unaweza kuwa umegundua kuwa ukikaa sehemu moja bila kubadilisha mkao hata kwa saa moja, miguu yako itaanza kupatwa na hali...

Afya6 days ago

Bajeti ya afya 2018/2019 bado tegemezi, yafyekwa kwa asilimia 20

Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa watanzania kukosa huduma bora za afya kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kutokana na kupunguzwa...

Afya6 days ago

Kwanini hakuna Saratani au kansa ya Moyo?

Kugundua kwamba una saratani au ndugu yako ana saratani huwa ni kipindi kigumu sana maishani. Saratani imekuwa janga kubwa sana...

Kutoka Twitter

Copyright © 2018 FikraPevu.com