Hatimaye Simba yakwea pipa, yaitandika Mbao FC 2-1 fainali Kombe la Shirikisho

BAADA ya rufaa yake kutupwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hatimaye Simba ...

Simba yagonga mwamba FIFA, Yanga yabaki na taji, Kagera na pointi zake

NDOTO za Simba kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ‘mezani’ zimegonga mwamba baada ya Shirikisho ...

Kombe la Shirikisho: Simba kutafuta tiketi ya ndege mjini Dodoma kesho. Ni fainali dhidi ya Mabo FC

WAKATI wakiendelea ‘kusubiria kudra za Mwenyezi Mungu’ zitende kazi kwenye rufaa yao waliyoipeleka Shirikisho ...

Kandanda: Yanga yanyakua ubingwa mara ya tano kwa tofauti ya mabao

YANGA imetwaa ubingwa wa soka wa Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo na ...

Kuhimiza sayansi sawa, lakini tunakosea tunapohimiza sayansi na kusahau michezo

MNAMO mwezi Agosti 2016, Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako, alitoa tamko kuwa kila ...

Tusipoandika historia yetu, tusije laumu ikipotoshwa!

Wengi wangependa kujua/kusoma wasifu rasmi “biography/autobiography” wa wanasiasa kama Benjamin Mkapa, Dkt. Salim A. ...

Wana CCM Mwanza wamkatia rufaa mbunge wa Chadema

WANACHAMA watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao walifungua kesi ya kupinga ushindi wa ...

KABLA YA KIFO; Kanumba alimuita mama yake Dar ili amuage

MAMA Mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mutegoa amezungumza na FikraPevu na kusema alizungumza ...