Kagera waanza kuchangamkia kilimo cha alizeti, waitelekeza kahawa

BAADA ya bei ya kahawa kudorora katika soko la dunia na bei yake kutokuwa ...

Iringa: Wakulima wa nyanya waanza kuzalisha mvinyo kukabiliana soko

WAKULIMA wa nyanya katika Kijiji cha Tanangozi wilayani Iringa, wameanza kuliongezea thamani zao hilo ...

Kilimo cha viazi lishe kukabiliana na baa la njaa wilayani Ukerewe

WANANCHI wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza wamejikita katika kilimo cha viazi lishe (viazi ...

MUVI: Mbegu bora za nyanya zitahimili mtikisiko wa masoko

WAKULIMA wa nyanya mkoani Iringa sasa wamepata suluhisho la tatizo la kuharibika kwa zao ...

Ekari 250 za kijiji zamilikiwa na mwekezaji kwa uzembe wa viongozi

UJIO wa Skimu ya Umwagiliaji ya Mlambalasi katika Kijiji cha Kiwere wilayani Iringa umeibua ...

Pamba: Dhahabu nyeupe iliyotelekezwa kwa kukosa pembejeo, huduma za ugani na masoko

“TUMEJIPANGA kurejesha heshima ya Kwimba katika kilimo na uzalishaji wa zao la pamba. Tumeanzisha ...

Ripoti Maalum: Tanzania ya ‘Magufuli wa viwanda’ yawapiga kisogo Wakulima wa Korosho

USULI: Gazeti tando la FikraPevu limefanikiwa kupata ushahidi unaoonyesha kwamba, pamoja na nia njema ...

Kisarawe: Mbegu za mihogo zilizokataliwa na wakulima zazua balaa

IDARA ya Kilimo katika Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani imeanza kutafuta ‘mchawi’ mara baada ...