Wavamizi watishia kuliangamiza Bonde la Wami Ruvu

Sera ya maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa Matatizo mengine katika kusimamia na kuendeleza ...

TAHADHARI: Waishio jirani na viwanda Dar hatarini kupata magonjwa ya kudumu

Wananchi wanaoishi jirani wa viwanda jijini Dar es Salaam wapo hatarini kupata magonjwa  ya ...

Miaka 56 ya Uhuru: Babu Seya, mwanaye waachiwa huru, Rais atoa msamaha kwa wafungwa wengine 8,157

Rais John Magufuli ametoa msamaha na kuagiza kuachiwa huru kwa familia ya Nguza Viking maarufu ...

Wapigania kuundwa kwa baraza la wazee, kujenga mfumo imara wa uwakilishi

Serikali  imeshauriwa kuharakisha upitishaji na utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kuzuia unyanyasaji na ...

Haki za binadamu zinapokanyagwa, nchi haitakuwa salama

Ifikapo Desemba 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Azimio la Haki za Binadamu ...

Shahidi katika kesi 457 asema hakuona uhusiano wa JamiiForums na Jamii Media

Shahidi  wa upande wa Jamhuri katika kesi 457 inayoikabili JamiiForums,  amekiri kutokuwepo kwa mahusiano ...

CAG azitaka Mamlaka za maji kutathmini maji yanayopotea

Maendeleo ya jamii yanachangiwa na mambo mengi ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama. ...

Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums: Shahidi upande wa Jamhuri atoa ushahidi wake, kesi kusikilizwa tena kesho

Kesi namba 457 inayoikabili JamiiForums, kuhusu kampuni ya CUSNA Investment ambayo ilidaiwa kufoji nyaraka ...

 Wananchi Tunduru watembea nusu kilomita kufuata maji, Halmashauri kuchimba visima  katika vijiji 23

Serikali kwa kushirikiana na taasisi binafsi katika Wilaya ya Tunduru inaendelea na uchimbaji wa ...

Fahamu saikolojia ya msichana aliyepata mimba katika umri mdogo

Elimu ni njia sahihi ya kumkomboa mwanadamu kifikra na kumuwezesha kumudu mazingira yanayomzunguka ili ...

Uhuru wa Kujieleza kitanzini, wanahabari waaswa kujenga taasisi imara

Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuboresha maslahi ya wanahabari na kujenga taasisi imara zinazoendeshwa ...