Rushwa haijapungua Tanzania, usalama wa wanahabari, AZAKI shakani

Licha ya taasisi ya Twaweza kuonyesha rushwa imepungua kwa asilimia 80, taasisi nyingine imejitokeza ...

EPA kutawala kikao cha wakuu wa nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki, Magufuli kutoa neno

Rais John Magufuli amewasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ...

Viongozi Chadema waripoti polisi, waachiwa; Mbowe, Mashinji wako safarini

Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewasili kwa mahojiano katika ...

Wazazi waitosa ‘Elimu bila Malipo’ wazigeukia shule binafsi

Licha ya wazazi wengi wa Tanzania kuwapeleka watoto wao kusoma katika shule za serikali, ...

Dalili zaonesha Magufuli, Kagame, Museveni kukosa tuzo za Mo

Zaidi ya shilingi trilioni 10 zinazotolewa bure kwa rais mstaafu wa nchi ya Afrika ...

Uhaba wa maji wageuka mtaji wa kisiasa wilayani Magu

Hotuba ya bajeti ya  Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya mwaka 2017/2018 inaeleza kuwa ...

Dkt. Slaa afunguka Lissu kupigwa risasi, apinga rais kuongezewa muda wa uongozi

Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ...

ELIMU BURE: Utata, tafsiri potofu ya Waraka wa Elimu Namba 5 wa 2015

Siku chache zilizopita Rais John Magufuli alipiga marufuku michango ya aina yoyote  katika shule ...