Marekani yatishwa na misaada, mikopo ya China inayotolewa Afrika

Katika kile kinachotajwa kuwa ni vita ya kiuchumi, Marekani imekosoa mfumo wa utoaji misaada ...

Bunge la China lakutana kujadili utendaji wa serikali, mageuzi ya katiba  

Mikutano miwili mikubwa ya mwaka, yaani Baraza la mashauriano ya Kisiasa, na bunge la ...

MGOGORO WA MAJI: Jiji la Dar es Salaam kufuata nyayo za Cape Town

Jiji la Cape Town nchini Afrika Kusini litazima mitambo inayopeleka maji kwa watumiaji ifikapo ...

Tanzania yaijia juu EU, Marekani mauaji ya raia wasio na hatia nchini

Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma kwamba inaminya demokrasia nchini na kusema kuwa imesikitishwa na ...

Japan yatoa bilioni 77.3 ujenzi wa barabara ya New Bagamoyo itakayotumiwa na mabasi ya mwendo kasi

Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), imeipatia Tanzania msaada wa shilingi ...

Jumuiya za Kimataifa zachochea shinikizo la Kumuondoa Kabila madarakani

Botswana imemuomba Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC),Joseph Kabila kuachia madaraka haraka ...

Mashirika ya Tanzania yatuhumiwa kukithiri kwa uhalifu wa kiuchumi duniani

Licha ya kuimarika kwa mapambano dhidi ya rushwa nchini, Tanzania bado iko kwenye kiwango ...

Uhaba wa rasilimali watu, miundombinu kuikwamisha Tanzania safari ya viwanda

Benki ya Dunia  imeizishauri nchi za Africa ikiwemo Tanzania kuboresha mfumo wa utendaji wa ...

EPA kutawala kikao cha wakuu wa nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki, Magufuli kutoa neno

Rais John Magufuli amewasili nchini Uganda kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ...