Unataka kumiliki gari? Epuka makosa haya

Gari ni chombo cha usafiri ambacho hutumiwa na watu kwa shughuli mbalimbali. Gari linapoanza ...

Wazazi waitosa ‘Elimu bila Malipo’ wazigeukia shule binafsi

Licha ya wazazi wengi wa Tanzania kuwapeleka watoto wao kusoma katika shule za serikali, ...

Mimba za Utotoni: Wasichana wanapogeuka wakimbizi katika jamii

Na Daniel Samson “Nilipomaliza shule nikaanza mahusiano na huyo mwanaume, basi katika kipindi cha  ...

Uhaba wa maji wageuka mtaji wa kisiasa wilayani Magu

Hotuba ya bajeti ya  Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya mwaka 2017/2018 inaeleza kuwa ...

ELIMU BURE: Utata, tafsiri potofu ya Waraka wa Elimu Namba 5 wa 2015

Siku chache zilizopita Rais John Magufuli alipiga marufuku michango ya aina yoyote  katika shule ...

Kemikali za  sumu bado tishio kwa uhai wa binadamu

Imeelezwa kuwa matukio ya watu kunywa sumu yameongezeka nchini na kuchangia vifo vya watu ...

Udumavu, utapiamlo wawatesa viongozi wa Afrika, wahaha kuokoa maisha ya watoto wanaokufa kila mwaka

Viongozi wa Afrika wamekubaliana kuondoa vikwazo vya lishe vinavyowazuia watoto na jamii kutambua na ...

Wanafunzi shule za msingi Mtwara wasomea chini ya miti, ujenzi wa madarasa wasuasua

Siku chache baada ya kuripotiwa kwa wanafunzi 299 wa shule ya msingi Mitambo wilayani ...

Waendesha bodaboda wanachangia asilimia 13 ya mimba za utotoni nchini

Kuna uhusiano gani kati ya bodaboda na ongezeko la mimba za utotoni kwa wasichana wanaosafiri ...

Elimu bure ya Tanzania yatoa changamoto nchini Morocco

Wakati serikali ya Tanzania ikitekeleza sera ya elimu bure kwa shule za msingi na ...