Rushwa haijapungua Tanzania, usalama wa wanahabari, AZAKI shakani

Licha ya taasisi ya Twaweza kuonyesha rushwa imepungua kwa asilimia 80, taasisi nyingine imejitokeza ...

Uhaba wa maji wageuka mtaji wa kisiasa wilayani Magu

Hotuba ya bajeti ya  Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya mwaka 2017/2018 inaeleza kuwa ...

ELIMU BURE: Utata, tafsiri potofu ya Waraka wa Elimu Namba 5 wa 2015

Siku chache zilizopita Rais John Magufuli alipiga marufuku michango ya aina yoyote  katika shule ...

Kemikali za  sumu bado tishio kwa uhai wa binadamu

Imeelezwa kuwa matukio ya watu kunywa sumu yameongezeka nchini na kuchangia vifo vya watu ...

Bajeti ya serikali bado ni siri kwa wananchi, bunge lakosa nguvu kusimamia utekelezaji wake

Inaelezwa kuwa ukosefu wa taarifa na ushirikishwaji mdogo wa wananchi katika uandaaji na utekelezaji ...

Ukosefu wa takwimu sahihi za vituo vya maji kikwazo cha maendeleo vijijini

Baadhi ya wananchi waishio vijijini wataendelea kusubiri kupata huduma ya maji ya uhakika kwa ...

Ongezeko la bajeti isiyoendana na mahitaji ya lishe kuathiri afya za watoto nchini

Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijafanikiwa kutokomeza tatizo ...

Maambukizi ya Mfumo wa upumuaji yanachangia asilimia 10.5 ya watoto wanaotibiwa hospitalini

Matumizi ya nishati ya asili katika shughuli za binadamu yamekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu ...

Rushwa sekta ya maji yapungua kwa asilimia 26, mahitaji yaongezeka maradufu

Sekta ya maji inagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu. Uhai wa binadamu kwa ...