You Are Browsing ‘Jamii’ Category

Kaimu Mkurugenzi TANESCO Mbaroni kwa matumizi mabaya ya Ofisi!

ALIYEKUWA Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Robert Semtutu, na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh.milioni 200.Washtakiwa wengine ni pamoja na aliyekuwa Afisa Ugavi wa Tanesco, Hanin Mahambo, Mkurugenzi wa fedha Lusekeo Kasanga, Mwanasheria Godson Ezekiel pamoja na mkandarasi Martin...

Kichanga cha mwezi mmoja chaokotwa kikiwa na barua Dar!

MTOTO mchanga wa mwezi mmoja akiwa na barua ya mama yake mzazi, ameokotwa akiwa hai eneo la Bunju ‘A’ wilayani Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, FikraPevu imebaini.Mtoto mchanga aliyetelekezwa na mama yakeTayari Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamtafuta mama mzazi wa mtoto huyo, ambaye kwa mujibu wa barua iliyokutwa anamlaumu mzazi mwenzie wa kiume kwa kumtelekeza.Kamanda...

Misokoto ya bangi 2,676 yakamatwa Manyara; watuhumiwa waendelea kupeta mtaani!

JESHI la Polisi hapa nchini, limeshindwa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wa madawa ya kulevya katika mkoa wa Manyara, ambapo kwa sasa Polisi wamekamata misokoto ya bangi 2,676 na mirungi bunda 70 katika mkoa huo, huku likishindwa kakabiliana na hali hiyo kutokana na Askari wake kushiriki vitendo hivyo katika maeneo mbalimbali hapa nchini.Aidha kumbukumbu zinaonyesha kuwa katika kipindi cha Machi, mwaka 2012, Jeshi hilo mkoani Kilimanjaro...

IGP Mangu atuma timu maalum kuchunguza wauaji wa wanawake mkoani Mara!

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu, ametuma timu maalum ya wataalamu wilaya ya Butiama, mkoani Mara, kufuatia kuibuka wimbi la mauaji ya wanawake wilayani humo.Timu hiyo imeundwa siku mbili tu baada ya FikraPevu kutoa taarifa ya kutokea kwa mauaji hayo ya kinyama ambayo yaliibua hasira za wananchi waliotaka kuundwa kwa 'operesheni tokomeza waua wanawake'.Taarifa za FikraPevu zilizonukuliwa pia na gazeti la KULIKONI...

Mbeya: Mabomu yarindima kutuliza vurugu za ‘Bodaboda’; wawili mbaroni kwa kukutwa na kete 21 za bangi

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, limelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya waendesha pikipiki ‘bodaboda’ waliokuwa wanataka kumuua mwanamke mmoja anayesadikiwa kushiriki kumuua mumewe, aliyefariki kwa kuuwawa na watu wasiofahamika FikraPevu imejulishwa.Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya, Ahmed Msangi, ameiambia FikraPevu leo Aprili 11, kuwa Jeshi hilo limelazimika kutumia nguvu ya ziada ili kuwatawanya watu wanaosadikiwa kuwa...

Page 1 of 6412345678910...Last »