Fikra Pevu

JamiiForums' Editorial Website | Tanzania's Online News Portal | Dedicated for Public Interest Journalism | mhariri@fikrapevu.com

Liganga-Mchuchuma: Danadana za maisha bora zaongeza umasikini

TANZANIA imejaa watu wengi wanaopenda “ujanjaujanja” katika harakati za kufanikiwa maishani. Wengi wanapenda kuvuna ...

Rais Magufuli, Lowassa ‘kuvaana’ uchaguzi Kenya. Jubilee waishutumu Tanzania kuiba kura

SASA ni dhahiri kwamba Rais John Magufuli atakuwa katika mikakati ya kuhakikisha swahiba wake, ...

Ongezeko la wakimbizi Kigoma laongeza changamoto ya huduma za afya

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotoa hifadhi kwa idadi kubwa ya wakimbizi duniani ikiwa ...

Ugonjwa wa ‘presha’ kitanzi kipya kwa wazee, serikali ichukue hatua haraka

UGONJWA wa shinikizo la damu, maarufu kwa jina la 'presha,' unatajwa kuwa kitanzi kipya ...

Geita: Nanasi kugeuka dhahabu nyingine. Kilimo chake chachangamkiwa

MKOA wa Geita ni maarufu kwa utajiri wa madini ya dhahabu iliyotapakaa katika eneo ...

Watetezi uhai wafanya kampeni kupinga muswada Afrika Mashariki

MASHIRIKIA ya kutetea uhai, PROLIFE- Tanzania na Human Life International (HLI) Tanzania, yanaendesha kampeni ...

Muhogo: Zao linabebeshwa janga la njaa. Linakosa soko licha ya kuwa na utajiri

WATANZANIA wengi wameaminishwa kuwa zao la muhogo ni muhimu sana wakati wa njaa. Wanaofanya ...

Moshi Vijijini: Wananchi wagomea mradi wa maji. Harufu ya ufisadi yanukia

DHANA kwamba Watanzania wengi ni watu wanaoumia “kimoyomoyo” hata kama wanaumizwa, imeanza kutoweka. Idadi ...

Iringa: Bei hafifu za nyanya zaendelea kuwatia umaskini wakulima

LICHA ya kuwepo kwa viwanda vitatu vya kusindika bidhaa zitokanazo na zao la nyanya ...

Mafia: Minazi hatarini kutoweka, uchumi wa kisiwa kutetereka

TAMBO nyingi zimesikika kuhusu umuhimu wa nazi. Wapo wanaoipa sifa kubwa nazi kwa kuwa ...

Morogoro: Zahanati yatelekezwa miaka mitatu. Wagonjwa, wajawazito wateseka

MUASISI na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui wakubwa wa Tanganyika (baadaye ...