Dr. Joachim Mabula

Clinician | Health Writer | Entrepreneur

Hizi ndizo changamoto za Sekta ya Afya nchini Tanzania tangu Uhuru!

AFYA bora ni rasilimali muhimu na kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii. ...

Shinikizo la Damu la Juu, Homa ya Dunia!

Si rahisi kwa binadamu yeyote kukubali ushauri wa daktari pale anapogundulika amepatwa na ugonjwa ...

Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku

UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo ...

Umri mzuri kwa mwanamke kupata mtoto (kuzaa)

Tamaa ya kutaka kufanikiwa maishani imeenea duniani kote. Hali imebadilika sana, jinsia ya kike ...

Vidonda vya Tumbo: Ni nini na husababishwa na nini haswa?

Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni mfumo katika mwili unaohusika na umeng'enyaji wa chakula ...

Aina tano (5) za Mazoezi Bora ya kuondoa Kitambi

Watu wengi wanaotaka kupunguza uzito huamini Kalori ndio kila kitu kinachohusika. Unapochoma Kalori zaidi ...

KITAMBI: Chanzo chake na jinsi ya kukiondoa

Kitambi (kilibatumbo) ni tumbo kubwa ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo ...

Njia KUMI rahisi za kupunguza Uzito

Kabla ya kukimbilia kujinyima vyakula ili kupunguza uzito, inabidi uamue ni uzito gani unaouhitaji. ...

Mchochota wa Ini aina ya B – Ugonjwa hatari zaidi ya UKIMWI

INI huchuja sumu kutoka kwenye damu na kufanya kazi nyingine muhimu 500. Kwa sababu ...

SIKU YA UKOMA DUNIANI 2013: Tujikabidhi kwa Mungu

"Jikabidhi kabisa kwa Mungu, atakutumia kutimiza mambo makuu kwa hali ambayo utaamini zaidi kwamba ...

Jinsi ya kujua kama Uzito wako unaendana na Kimo chako kiafya

BMI hupatikana kwa kugawanya Uzito (Weight in Kg) kwa (Kimo mara Kimo) (Kimo/Height in ...