Huduma bora za afya ni haki ya msingi ya kila mtu lakini changamoto katika sekta ya afya nchini huwa kikwazo kwa wananchi kuzipata huduma hizo kwa...
Na Daniel Samson Maendeleo mazuri ya afya ya mtu ni pamoja kuwa na uhakika wa kupata matibabu akiugua au kupata ajali. Bima ya afya ni njia...
Hivi karibuni, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza Halmashauri zote nchini kuandalia wazee vitambulisho maalum kwa ajili ya kupata...
JUMA lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito...
WAKATI dunia ikiwa katika miaka ya mwanzo ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), huenda bado ipo haja ya kutazama upya utekelezwaji wa Malengo ya...
OPERESHENI ya uhakiki wa vyeti feki vya elimu na taaluma nimesababisha mhudumu wa afya katika Zahanati ya Majimoto, Kata ya Majimoto wilayani Mlele katika Mkoa wa...
NDOTO za wananchi wa Manispaa ya Mpanda na Mkoa wa Katavi kwa ujumla za Jumanne ya Januari 17, 2017 kuhusu kutatuliwa kwa changamoto ya upatikanaji wa...
UGONJWA wa shinikizo la damu, maarufu kwa jina la 'presha,' unatajwa kuwa kitanzi kipya katika maisha ya wazee Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. “Ugonjwa huu...
MASHIRIKIA ya kutetea uhai, PROLIFE- Tanzania na Human Life International (HLI) Tanzania, yanaendesha kampeni kupinga muswada ulioandaliwa na Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuhusu afya ya...
MUASISI na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alitangaza maadui wakubwa wa Tanganyika (baadaye Tanzania) kuwa ni ujinga, maradhi na umasikini. Tangu uhuru wa Tanganyika, serikali...
Journalist Krista Mahr, writing in the British Guardian newspaper recently, reported that cancer rates are on the rise in Tanzania. Mahr wrote, “Tanzania’s only internationally trained...
UKOSEFU wa zahanati na vituo vya afya katika maeneo ya pembezoni nchini Tanzania unachangia wananchi wengi kukosa huduma za afya kwa wakati. Uchunguzi ulifanywa na FikraPevu umebaini...
WAKAZI wa Kata ya Mindu katika Manispaa ya Morogoro wanapata huduma za afya chini ya mti kutokana na ukosefu wa jengo la zahanati na kituo cha...
MNAMO Agosti 8, 2016 viwanja vya maonesho Sikukuu ya Wakulima– maarufu; Nane Nane katika eneo la Ngongo, mjini Lindi vilikuwa vimependeza kutokana na kuwepo kwa mabanda...
MIAKA 27 iliyopita Tanzania ilikuwa inashika nafasi ya 18 barani Afrika katika orodha ya nchi 20 zilizokuwa zikiongoza kwa idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na uzazi....
LICHA ya kutajwa kuwa mkombozi wa kiuchumi, lakini zao la tumbaku bado limeendelea kuwa hatari duniani kutokana na kusababisha vifo milioni 6. Wanaopoteza maisha kutokana na...
KUSHINDWA kukamilika kwa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kasindaga, Kata ya Kyebitembe, Wilaya ya Muleba, Kagera kunasababisha matatizo makubwa ya afya na vifo. Hiyo inatokana...
UTARATIBU wa kununua dawa kwa mzabuni binafsi zinapokosekana Bohari Kuu ya Dawa (MSD), unasababisha uhaba wa dawa, vifaa vya tiba kwenye zahanati na hospitali wilayani Mafia...
BAJETI finyu inayotengwa kwa ajili ya sekta ya afya nchini, inachangia kukosekana dawa na vifaa vya tiba katika zahanati na hospitali za umma wilayani Mafia, Pwani....
PAMOJA na kuendelea kwa harakati za serikali kuhamia rasmi Dodoma, hofu ya kuongezeka kwa kero ya maji katika mji huo ni kubwa. Hofu hiyo haitapungua, angalau...
PAMOJA na madhara na “dhambi” ya kuua inayowakabili wanawake wanaotoa mimba, bado hawakomi, FikraPevu imebaini. Zipo njia nyingi wanazotumia “kuwaua” watoto waliomo tumboni, lakini uchunguzi wa...
KWA Monica Ibrahim, kahaba anayefanya shughuli zake pale Mbeya Carnival Night Club, mapenzi ni furaha iliyopotea kitambo kwa kuwa inamletea majeraha mengi maishani mwake, kiasi cha...
Tarehe 15 Desemba 2016, Dk Mwele Malecela, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) alitangaza hadharani kuwa kuna virusi vya Zika nchini...
KUHARIBIKA kwa kondo la nyuma, kuharibika kwa mfuko wa neva na mimba zinazofuata, kuwa tasa, kufariki kwa mama au mama kuamua kujiua baadaye, ni miongoni mwa...
WAKAZI wa Kata ya Igoma jijini Mwanza, wamemshinikiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kuhakikisha Kituo cha Afya katani hapo...
NI majira ya saa 11.40 alfajiri wakati ninapoparamia daladala kuelekea ofisini baada ya kumsindikiza binti yangu awahi shule kutokana na shida ya usafiri, si kwa wanafunzi...
CHAMA cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimedhamiria kuibua mjadala mpana kutetea utoaji mimba salama nchini. Mkurugenzi wa TAWLA, Tike Mwambipile, anasema mjadala unapaswa kulenga kuzuia utoaji...
WAKATI Serikali ikitumia fedha nyingi kuboresha na kusogeza karibu na wananchi huduma ya afya, vifaa vya upasuaji katika Kituo cha Afya cha Igoma jijini Mwanza, vimefungiwa...
HUDUMA ya afya katika Kata ya Malolo, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma bado zina changamoto kubwa ambapo mpaka sasa wajawazito wanalazimika kusafiri umbali wa zaidi ya...
On Dec. 15, Dr. Mwele Malecela, the Director General of National Institute of Medical Research (NIMR), as part of the institute’s annual report, announced publicly that the Zika...
UONGOZI wa Mkoa wa Tanga unakwamisha kupatikana kwa vifaa vya tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo kutokana na ukiritimba. Uchunguzi uliofanywa na FikraPevu umebaini kuwa...
UWEPO wa watoto katika familia ni furaha kwa wanandoa, wengi huamini kuwa watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Wazazi wanawekeza fedha na muda mwingi kuwalinda na...
MIAKA kadhaa iliyopita kulikuwa na matangazo mengi kuhusu ugonjwa wa Ukimwi kwenye vyombo mbalimbali vya habari; redio na magazeti. Watu wengi walielimika kupitia vyombo hivyo na...
MAENDELEO mazuri ya kukua na kuongezeka kwa urefu na uzito, ni muhimu kwa afya ya mtoto. Lakini kwa mtoto Emmanuel John, mwenye umri wa miaka 2...
“KUANZIA sasa nitakuwa najifungua kwa njia ya ‘operesheni’ tu, nimeteseka vya kutosha na nisingependa kurudia mateso yale,” anasema Martha (siyo jina lake halisi), mama wa mtoto...
HIVI karibuni, mtu mmoja Ramadhan Kiumbo ‘Popo’, mkazi wa Kibada wilayani Kigamboni aliripotiwa kufariki dunia na wengine 12 kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kipindupindu. Marehemu...
DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji makubwa barani Afrika ambayo hayajapangwa. Ama kwa lugha rahisi, ni jiji lililojengwa kiholela. Jiji hilo lenye wakazi takriban milioni...
ZAIDI ya Watanzania milioni moja wanaugua ugonjwa wa kifafa (epilepsy), FikraPevu inaripoti. Ukiachilia mbali watoto, lakini watu wanaopata ajali za magari, bodaboda na kadhalika, wako hatarini...
MATARAJIO ya upataikanaji wa uhakika wa dawa katika Hospitali ya Manispaa Mpanda mkoani Katavi ambayo walikuwa nayo wakazi wa mkoa huo yameendelea kuota mbawa licha ya ahadi...
GRACE Machidya, mkazi wa Kijiji cha Malolo katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, anahangaika kutafuta usafiri wa bodaboda ili impeleke katika zahanati ya Al Jazeera iliyoko...
MAABUKIZI ya Virusi vya Ukimwi yako juu kwa wasichana wenye umri kati ya miaka 20 na 25 kuliko walio chini ya umri huo, FikraPevu inaandika. Inaelezwa...
AFYA bora ni rasilimali muhimu na kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii. Serikali huwa na lengo la kuinua hali ya afya kwa wananchi wote...
MPANGO wa Afya Bora kwa Wote (Universal Health Coverage) bado unasuasua Tanzania. Mpango huu wa dunia wenye historia ndefu na ambao unapigiwa chepuo na Shirika la...
MAZINGIRA bora ya kufundishia na kujifunzia katika shule ni kichocheo kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao na kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kutatua changamoto Za...
MADHARA ya kutumia dawa za kulevya ni mengi. Na yote ni mabaya. Hakuna jema hata moja. Wanaotumia dawa hizo, ikiwamo Cocaine, Heroine, bangi na nyingine, hupata...
WANAWAKE 390,000, kati ya milioni moja, nchini Tanzania hutoa mimba kila mwaka kwa njia za kinenyeji. FikraPevu imeelezwa kuwa idadi hiyo (milioni moja) inawahusu wanawake wanaopata...
MAJOKOFU ya kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi ni mabovu. Hali hiyo inasababisha maiti wanaohifadhiwa katika chumba maalum kutunzia...
WAUGUZI wawili, akiwemo muuguzi mkuu wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Mbeya (Mbalizi Ifisi), Sikitu Mbilinyi, wameacha kazi ghafla. FikraPevu ina taarifa kuwa wameacha kazi wakati...