Afya

Jukwaa maalum la Uchambuzi wa masuala kadhaa ya kiafya toka kwa wataalam mbalimbali wa afya

Je ni sawa kufanya mazoezi kabla ya kula?

Mazoezi ni sehemu muhimu ya kuufanya mwili kuwa imara na wenye afya, lakini kumekuwa ...

Lissu amaliza awamu ya pili ya matibabu, kusafirishwa nje ya Kenya

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema afya ya Tundu ...

Dondoo muhimu ili kupata usingizi wa uhakika

Kufanya kazi  ni sehemu ya maisha ya binadamu yeyote. Mtu asipofanya kazi huugua kwasababu ...

Mambo ya kuzingatia kukabiliana na ‘TRAUMA’

Makala iliyopita tuliongelea dhana ya Trauma na dalili zake, leo tena tunaendelea kuangalia hali ...

TRAUMA: kidonda cha kisaikolojia kinachohatarisha maisha ya watu wengi

Tunaishi katika dunia ambayo inakabiliwa na matatizo mbalimbali ambayo husababishwa na shughuli za binadamu ...

Kufanya mazoezi kupita kawaida ni hatari kwa afya yako

Kuishi muda mrefu ni matamanio ya kila binadamu, kwa sababu kila aliyezaliwa ana kusudi ...

Mbunge ashawishika kutoa bima ya afya kwa wazee

katika kuelekea siku ya Wazee  Duniani, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amewataka ...

Sababu za wanawake kuishi muda mrefu kuliko wanaume

Kila binadamu aliyezaliwa huongezeka kimo kuanzia akiwa mtoto, kijana na hatua ya mwisho ni ...

Tatizo la upofu wa macho linavyoitesa dunia

Jicho ni kiungo kimojawapo cha mwili kinachomsaidia mwanadamu na pia wanyama kuona vitu mbalimbali ...

Lini wananchi wa Kinondoni watapata maji safi na salama?

 Kinondoni ni wilaya mojawapo iliyopo katikati ya jiji Dar es salaam, ambapo katika fikra ...

Wanawake wasioolewa hupata zaidi mimba zisizotarajiwa na huishia kuzitoa

Licha ya jitihada mbalimbali za serikali na wadau wa afya ya mama na mtoto ...